Kamati ya Utendaji
Kamati ya Utendaji ni uongozi wa utawala wa jimbo na ina watu watatu,
Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu.
Wanachama wa sasa wa kamati ya utendaji ni:
Mwenyekiti wa Bodi ya jimbo ni Mtendaji Mkuu wa jimbo.
Mch. Jairi Sengo - Makamu Mwenyekiti
Makamu Mwenyekiti anamkaimu Mwenyekiti asipokuwepo.
Mch. Steven Mwaipopo - Katibu Mkuu
Katibu Mkuu anawajibika kuweka, kutunza na kutekeleza maazimio ya Sinodi, bodi ya jimbo na kamati ya utendaji.