Zahanati ya Bwipa
Zahanati ya
Bwipa iko katika kijiji cha Bwipa. Ni zahanati inayohusiana na Hospitali ya Isoko. Huduma kuu
zitolewazo katika zahanati ni wagonjwa wa nje, elimu ya afya, afya ya uzazi ya mtoto na
utoaji wa dawa za msingi.